Kurusha vijiwe kwa njia isiyokuwa ya mpangilio

Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anarusha vijiwe kwa njia isiyokuwa ya mpangilio akaanza kurusha vijiwe kwenye nguzo kubwa na akamalizia kwa nguzo ndogo?

Jibu: Urushaji wa vijiwe kwenye nguzo ndogo ndio unasihi peke yake. Atatakiwa kurudi kurusha vijiwe kwenye kiguzo cha katikati na mwishowe kwenye nguzo ile kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 26/06/2020