Swali: Kuna mtu ni msafiri amenuia kukata swawm yake lakini akawa hakupata chakula. Wakati ilipokuwa karibu na kuzama jua akarudisha nia yake ya kutokula. Ni ipi hukumu ya swawm yake?
Jibu: Haisihi. Kwa kuwa aliponuia kukata swawm yake ilikatika. Haijalishi kitu hata kama hakula na kunywa. Midhali amenuia kukata swawm, imekatika. Akirudisha nia yake haishi kwa sababu swawm ya faradhi ni lazima mtu kutia nia kabla ya kuingia Fajr.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Kuna mtu ni msafiri amenuia kukata swawm yake lakini akawa hakupata chakula. Wakati ilipokuwa karibu na kuzama jua akarudisha nia yake ya kutokula. Ni ipi hukumu ya swawm yake?
Jibu: Haisihi. Kwa kuwa aliponuia kukata swawm yake ilikatika. Haijalishi kitu hata kama hakula na kunywa. Midhali amenuia kukata swawm, imekatika. Akirudisha nia yake haishi kwa sababu swawm ya faradhi ni lazima mtu kutia nia kabla ya kuingia Fajr.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/kurudisha-nia-ya-swawm-baada-ya-kuikata/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)