Swali: Ni ipi hukumu ya kupuliza kuondosha udongo uliyobaki kwenye vitanga vya mikono baada ya kupiga kwenye udongo na kabla ya kupangusa uso?

Jibu: Imepokelewa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipuliza kwenye vitanga vyake vya mikono baada ya kuipiga kwenye ardhi kisha akapangusa. Mtu akifanya hivo haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 19/11/2016