Swali: Ni ipi hukumu ya ujira anapewa mwalimu anayewafunza watu Qur-aan?

Jibu: Ni sawa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:

“Hakika kilicho na haki zaidi kukichukulia ujira kwacho ni Kitabu cha Allaah.”

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (91/04)
  • Imechapishwa: 22/08/2020