Kupinda ndani ya swalah kwa dharurah

Swali: Mwenye kuswali akifungua mlango na akapinda katika Qiblah Swalah yake ni sahihi?

Jibu: Asipinde katika Qiblah. Afungue mlango na huku ameelekea Qiblah. Asipinde katika Qiblah isipokuwa kwa mambo ya khatari kama kuuawa mtu aliehai, nyoka, kitu chenye khatari au kumuua adui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014