Swali: Ni ipi hukumu kupiga picha miti na majumba na vinginevyo?
Jibu: Kitu kisichokuwa na roho, hakuna neno kukipiga picha. Kilichoharamishwa ni kupiga picha viumbe vyenye roho, katika wanaadamu, minyama, ndege na kadhalika. Kila chenye roho, hili ndio kumekuja makatazo juu ya kukipigia picha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5428
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu kupiga picha miti na majumba na vinginevyo?
Jibu: Kitu kisichokuwa na roho, hakuna neno kukipiga picha. Kilichoharamishwa ni kupiga picha viumbe vyenye roho, katika wanaadamu, minyama, ndege na kadhalika. Kila chenye roho, hili ndio kumekuja makatazo juu ya kukipigia picha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5428
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/kupiga-picha-viumbe-visivyokuwa-na-roho/