Kupiga picha viumbe visivyokuwa na roho

Swali: Ni ipi hukumu kupiga picha miti na majumba na vinginevyo?

Jibu: Kitu kisichokuwa na roho, hakuna neno kukipiga picha. Kilichoharamishwa ni kupiga picha viumbe vyenye roho, katika wanaadamu, minyama, ndege na kadhalika. Kila chenye roho, hili ndio kumekuja makatazo juu ya kukipigia picha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5428
  • Imechapishwa: 24/09/2020