Kupata khabari kuwa ni Ramadhaan baada ya kula mwanzoni mwa mchana

Swali: Mtu afanye nini ikiwa ataamka baada ya alfajiri mwanzoni wa Ramadhaan na kuanza kula halafu akapata khabari kuwa ni Ramadhaan. Je, aanze kufunga au aendelee kula?

Jibu: Aanze kufunga. Halimuathiri. Alifikiria kuwa bado ni usiku. Aanze kufunga na swawm yake ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 74-75
  • Imechapishwa: 26/08/2020