Swali: Inafaa kwa Muhrim akioga kufuta nywele zake kwa taulo au kufanya hivo kunazingatiwa ni kukifunika kichwa?

Jibu: Kuna utata. Lakini kama ni kupitisha tu juu ya nywele ni sawa – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 23/02/2020