156- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye anapangusa juu ya makubadhi yake. Akalichukia hilo na akasema:

“Hapana.”

157- Nilimuuliza baba yangu kuhusu kufuta juu ya makubadhi. Akasema:

“Ikiwa miguuni mwake mna soksi alizozivaa, basi hakuna neno kupangusa juu ya makubadhi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/122-123)
  • Imechapishwa: 07/02/2020