Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kupanga kwenye nyumba ambayo imejengwa kwa njia ya ribaa?
Jibu: Ukijua kuwa imejengwa kwa njia ya ribaa jitenge nayo mbali. Usipange wala usiinunue. Jitenge nayo mbali.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kupanga kwenye nyumba ambayo imejengwa kwa njia ya ribaa?
Jibu: Ukijua kuwa imejengwa kwa njia ya ribaa jitenge nayo mbali. Usipange wala usiinunue. Jitenge nayo mbali.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/kupanga-au-kununua-nyumba-iliyojengwa-kwa-ribaa/