Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia nguo za najisi ambazo zimesafishwa kwa njia ya mvuke?
Jibu: Mvuke ni maji. Ikiwa mvuke una maji masafi na unaondosha athari ya najisi nguo zinakuwa safi. Ni lazima mvuke uwe na maji masafi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia nguo za najisi ambazo zimesafishwa kwa njia ya mvuke?
Jibu: Mvuke ni maji. Ikiwa mvuke una maji masafi na unaondosha athari ya najisi nguo zinakuwa safi. Ni lazima mvuke uwe na maji masafi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuosha-nguo-kwa-njia-ya-mvuke/