Swali: Sabuni inachukua nafasi ya mchanga inapokuja katika kuondosha mate ya mbwa?
Jibu: Hapana. Hayachukui nafasi ya mchanga. Mchanga una sifa ya kipekee ambayo Allaah amefanya kuondosha hadathi. Sio kama sabuni. Ni sahihi kufanya Tayammum na sabuni? Inaondosha najisi? Hapana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Sabuni inachukua nafasi ya mchanga inapokuja katika kuondosha mate ya mbwa?
Jibu: Hapana. Hayachukui nafasi ya mchanga. Mchanga una sifa ya kipekee ambayo Allaah amefanya kuondosha hadathi. Sio kama sabuni. Ni sahihi kufanya Tayammum na sabuni? Inaondosha najisi? Hapana.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/sabuni-kwa-ajili-ya-mate-ya-mbwa/