Katika kuhifadhi twahara ni pamoja na kuondosha najisi:
1 – Katika mavazi yako.
2 – Mwili wako.
3 – Mahali pa kuswalia.
Ni lazima kutwahirisha sehemu hizi tatu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/366)
- Imechapishwa: 25/05/2023