Kuona kuwa usipochinja mwanzoni mwa Rajab watoto wako watakufa

Swali: Katika mji wetu kuna watu wanaochinja mwanzoni mwa Rajab na wanasema mtu asipofanya hivo basi watoto wake watakufa. Je, hiyo ni shirki?

Jibu: Ndio, hiyo ni shirki:

“Allaah amemlaani mwenye kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.”

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 27
  • Imechapishwa: 18/01/2025