Vitabu vinavyopendekeza katika Tawhiyd na dhidi ya shirki

Swali: Ni vitabu vipi unavyopendekeza mtu kusoma katika Tawhiyd na katika kuraddi shirki?

Jibu: Napendekeza vitabu vya wajukuu wawili wa Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab ”Fath-ul-Majiyd” na ”Taysiyr-ul-´Aziyz al-Hamiyd”. Vivyo hivyo kuhusu ”Tatwhiyr-ul-I´tiqaad” cha as-Swan´aaniy na ”ad-Durr an-Nadhwiyd” na ”Sharh-us-Suduur fiy Tahriym Raf´-il-Qubuur” vya ash-Shawkaaniy. Kama kusingelikuwa isipokuwa vitabu hivi viwili… Bal ”Fath-ul-Majiyd” kinatosha kusafisha ´Aqiydah.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 28
  • Imechapishwa: 18/01/2025