Swali 297: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kuomboleza[1] bila mtu kufa?
Jibu: Haitakikani. Huenda ikapelekea kuomboleza wakati wa msiba na huenda ikawa mbaya zaidi wakati wa msiba.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/36-maana-ya-nay/
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 108
- Imechapishwa: 23/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 297: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kuomboleza[1] bila mtu kufa?
Jibu: Haitakikani. Huenda ikapelekea kuomboleza wakati wa msiba na huenda ikawa mbaya zaidi wakati wa msiba.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/36-maana-ya-nay/
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 108
Imechapishwa: 23/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kuomboleza-bila-ya-msiba/