Kuomba du´aa kwa kunyanyua mikono kati ya adhaana na Iqaamah

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba du´aa kwa kunyanyua mikono kati ya adhaana na Iqaamah?

Jibu: Hakuna dalili ya hilo. Hakuna dalili ya kunyanyua mikono kati ya adhaana na Iqaamah. Aombe du´aa bila kunyanyua mikono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/02/2018