Swali: Ni ipi hukmu ya kunywa damu ya mwanadamu?
Jibu: Haijuzu kuinywa. Haijalishi kitu hata kama tutasema kuwa damu ni safi, inampasa alietokwa na damu kinywani mwake aiteme.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 151
- Imechapishwa: 23/07/2020
Swali: Ni ipi hukmu ya kunywa damu ya mwanadamu?
Jibu: Haijuzu kuinywa. Haijalishi kitu hata kama tutasema kuwa damu ni safi, inampasa alietokwa na damu kinywani mwake aiteme.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 151
Imechapishwa: 23/07/2020
https://firqatunnajia.com/kunywa-damu-ya-mwanadamu/