Kunywa damu ya mwanadamu

Swali: Ni ipi hukmu ya kunywa damu ya mwanadamu?

Jibu: Haijuzu kuinywa. Haijalishi kitu hata kama tutasema kuwa damu ni safi, inampasa alietokwa na damu kinywani mwake aiteme.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 151
  • Imechapishwa: 23/07/2020