Kunyonyesha mbele ya wanawake waislamu

Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kumnyonyesha mtoto wake mbele ya ndugu zake wanawake katika Uislamu?

Jibu: Sioni ubaya wa kufanya hivyo.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=338
  • Imechapishwa: 02/03/2018