Swali: Baadhi ya waswaliji wakati mwingine wanapandisha miguu yao juu katika Sujuud.
Jibu: Akiswali ni lazima ategemee vidole vyake. Asivinyanyue. Akivinyanyua juu basi haisihi Sujuud yake. Ni lazima ategemee matumbo ya vidole vya miguu yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23773/حكم-صلاة-من-يرفع-رجليه-في-السجود
- Imechapishwa: 25/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)