Swali: Kutoanza kuwatolea salamu makafiri inawahusu mayahudi peke yao au wanaingia pia manaswara?

Jibu: Manaswara na makafiri wengine wote. Kuna tamko lisemalo:

“Msianze kuwatolea salamu mayahudi wala manaswara.”

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Wanapokusalimieni watu wa Kitabu… ”

Watu wa Kitabu ni tamko lenye kuenea.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24250/هل-عدم-ابتداء-اهل-الكتاب-بالسلام-عام
  • Imechapishwa: 20/09/2024