Swali: Ikiwa safu zimekwishanyooka – je, inasuniwa imamu kuwaambia:
“Sawazisheni safu zenu na karibianeni”?
Baadhi ya watu huchukulia kama ni Sunnah iliyothibiti, ni mamoja iwe safu imepinda au imenyooka?
Jibu: Imamu anapaswa kuwakumbusha ili wazowee jambo hilo na walitambue. Awe mwenye kuwageukia na kusema:
“Sawazisheni na nyoosheni safu zenu.”
ili wajue umuhimu wa jambo hilo na walizoe.
Swali: Je, imamu awageukie kwa uso wake wakati akisema hivyo?
Jibu: Ndio.
Swali: Ikiwa safu tayari ziko sawa – je, bado ni Sunnah kwake kuwaambia hivo?
Jibu: Haijalishi kitu, aseme hivo ili watu waendelee kulizoea. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa kila akisimama kwa ajili ya swalah alikuwa akiwaambia watu maneno hayo.
Swali: Hivyo ni Sunnah?
Jibu: Ndio.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31147/هل-يسن-للامام-قول-استووا-والصفوف-مستوية
- Imechapishwa: 07/10/2025
Swali: Ikiwa safu zimekwishanyooka – je, inasuniwa imamu kuwaambia:
“Sawazisheni safu zenu na karibianeni”?
Baadhi ya watu huchukulia kama ni Sunnah iliyothibiti, ni mamoja iwe safu imepinda au imenyooka?
Jibu: Imamu anapaswa kuwakumbusha ili wazowee jambo hilo na walitambue. Awe mwenye kuwageukia na kusema:
“Sawazisheni na nyoosheni safu zenu.”
ili wajue umuhimu wa jambo hilo na walizoe.
Swali: Je, imamu awageukie kwa uso wake wakati akisema hivyo?
Jibu: Ndio.
Swali: Ikiwa safu tayari ziko sawa – je, bado ni Sunnah kwake kuwaambia hivo?
Jibu: Haijalishi kitu, aseme hivo ili watu waendelee kulizoea. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa kila akisimama kwa ajili ya swalah alikuwa akiwaambia watu maneno hayo.
Swali: Hivyo ni Sunnah?
Jibu: Ndio.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31147/هل-يسن-للامام-قول-استووا-والصفوف-مستوية
Imechapishwa: 07/10/2025
https://firqatunnajia.com/kuna-haja-kwa-imamu-kuwahimiza-maamuma-kunyoosha-safu-kama-tayari-safu-zimenyooka/