Kuna Athar sahihi ya ´Aliy kwamba alianza upande wa kushoto wakati wa kutawadha?

Swali 04: Kuna Athari kutoka kwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) kwamba alianza kutawadha upande wa kushoto kabla ya kulia. Je, imesihi?

Jibu: Sijui usahihi wake na wala siijui.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 32
  • Imechapishwa: 31/07/2018