Kumzamisha nzi anapoingia kwenye kinywaji cha moto

Swali: Vipi ikiwa kinywaji ni cha moto?

Jibu: Hata kama ni cha moto, udhahiri ni kuenea kwa hukumu. Hata hivyo mara nyingi ni kwamba nzi akiingia kwenye kinywaji cha moto mtu hawezi kufanya chochote. Mara nyingi ni kwamba hahitaji kukizamisha, kwa sababu kinateketezwa na moto. Mara nyingi huwa hivi. Mara nyingi ni kwamba anaweza kukiopoa pale ambapo kinywaji kinakuwa chenye baridi. Lakini ikiwa kinywaji ni cha moto hawezi kumzamisha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24073/حديث-غمس-الذباب-هل-يشمل-الشراب-الحار
  • Imechapishwa: 23/08/2024