Swali: Je, kunatumiwa kipimo cha tende zote?
Jibu: Kunatarajiwa hivo. Hata hivyo udhahiri wa dalili ni kwamba ni maalum kwa tende za Madiynah. Lakini kunatarajiwa kwamba mtu akila tende nyingine asubuhi kwamba atafikia malengo hayo. Licha ya kwamba akila tende za Madiynah ndio kukamilifu na yakini zaidi.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24071/هل-يشمل-من-تصبح-بسبع-تمرات-كل-التمر
- Imechapishwa: 23/08/2024
Swali: Je, kunatumiwa kipimo cha tende zote?
Jibu: Kunatarajiwa hivo. Hata hivyo udhahiri wa dalili ni kwamba ni maalum kwa tende za Madiynah. Lakini kunatarajiwa kwamba mtu akila tende nyingine asubuhi kwamba atafikia malengo hayo. Licha ya kwamba akila tende za Madiynah ndio kukamilifu na yakini zaidi.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24071/هل-يشمل-من-تصبح-بسبع-تمرات-كل-التمر
Imechapishwa: 23/08/2024
https://firqatunnajia.com/aaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)