Kumwombea mtu msamaha kesi ambayo imeshafika idara ya polisi II

587 – Shaykh aliulizwa kuhusu uombezi katika kesi iliyofikishwa polisi?

Jibu: Dhahiri ni kwamba uombezi ni haramu. Adhabu zisizo za hududu jambo lake ni sahali[1].

[1] Shaykh wetu Ibn ´Uthaymiyn amesema:

”Iwapo adhabu itawafikia polisi, basi uombezi haukubaliwi. Kwa sababu imeshamfikia mtawala.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 207
  • Imechapishwa: 10/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´