Swali: Je, inajuzu kumwita mtu “Muhammad” ikiwa mtu hajui jina lake? Hili linafanywa hivi leo na wafanyakazi kwenye mgahawa na limeeena kila mahali.
Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Lakini bora zaidi ni kusema “´Abdullaah” kwa vile watu wote ni waja wa Allaah. Ikiwa hujui lina lake mwite “´Abdullaah” na kumwambia afanye unalotaka kumwambia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Je, inajuzu kumwita mtu “Muhammad” ikiwa mtu hajui jina lake? Hili linafanywa hivi leo na wafanyakazi kwenye mgahawa na limeeena kila mahali.
Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Lakini bora zaidi ni kusema “´Abdullaah” kwa vile watu wote ni waja wa Allaah. Ikiwa hujui lina lake mwite “´Abdullaah” na kumwambia afanye unalotaka kumwambia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/kumwita-mtu-usiyejua-jina-lake-muhammad-%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket