Jinsi ya kutangamana na wanafamilia wanaosherehekea maulidi

Swali: Vipi tutatangamana na familia zetu ambazo zinasherehekea maulidi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Wanasihini. Yule mwenye kuweza kuwakataza awakataze. Ikiwa hamuwezi kuwakataza wanasihini, wabainishieni na watahadharisheni na hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020