Swali: Ni ipi hukumu ya kumwangalia mfanya kazi wa kike wa nyumbani?
Jibu: Haijuzu kumwangalia mwanamke ambaye sio katika Mahram zako, sawa ikiwa ni mfanya kazi au mwingine. Hata kama ni mfanya kazi haijuzu. Kufanya hivi kuna fitina na shari.
Haya ni katika maradhi ya kuweka wafanya kazi majumbani.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
- Imechapishwa: 19/04/2015
Swali: Ni ipi hukumu ya kumwangalia mfanya kazi wa kike wa nyumbani?
Jibu: Haijuzu kumwangalia mwanamke ambaye sio katika Mahram zako, sawa ikiwa ni mfanya kazi au mwingine. Hata kama ni mfanya kazi haijuzu. Kufanya hivi kuna fitina na shari.
Haya ni katika maradhi ya kuweka wafanya kazi majumbani.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1430-7-20.mp3
Imechapishwa: 19/04/2015
https://firqatunnajia.com/kumwangalia-mfanya-kazi-wa-kike/