Swali: Ni ipi hekima ya ´Iysaa kuua nguruwe katika zama za mwisho? Je, mtu aue nguruwe katika zama hizi?
Jibu: Allaah ndiye anayejua siri ya hilo ili kubainisha kuwa ameharamishwa kwao na kwamba wao wamemuhalalisha pasi na haki. Ni kama ambavo wamehalalisha msalaba.
Swali: Je, inafaa kumuua nguruwe?
Jibu: Ndio, anauliwa. Ni haramu kwa andiko la Qur-aan, Sunnah na maafikiano ya waislamu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24199/الحكمة-من-قتل-عيسى-عليه-السلام-للخنزير
- Imechapishwa: 13/09/2024
Swali: Ni ipi hekima ya ´Iysaa kuua nguruwe katika zama za mwisho? Je, mtu aue nguruwe katika zama hizi?
Jibu: Allaah ndiye anayejua siri ya hilo ili kubainisha kuwa ameharamishwa kwao na kwamba wao wamemuhalalisha pasi na haki. Ni kama ambavo wamehalalisha msalaba.
Swali: Je, inafaa kumuua nguruwe?
Jibu: Ndio, anauliwa. Ni haramu kwa andiko la Qur-aan, Sunnah na maafikiano ya waislamu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24199/الحكمة-من-قتل-عيسى-عليه-السلام-للخنزير
Imechapishwa: 13/09/2024
https://firqatunnajia.com/kumuua-nguruwe/