Swali: Mtu akifa baada ya kumjamii mke wake aoshwe kwa ajili ya janaba kisha aoshwe josho ya kufa?
Jibu: Josho moja inatosha. Josho moja inatosha na inakuwa kwa ajili ya janaba na kwa ajili ya maiti.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-12.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014
Swali: Mtu akifa baada ya kumjamii mke wake aoshwe kwa ajili ya janaba kisha aoshwe josho ya kufa?
Jibu: Josho moja inatosha. Josho moja inatosha na inakuwa kwa ajili ya janaba na kwa ajili ya maiti.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-12.mp3
Imechapishwa: 14/11/2014
https://firqatunnajia.com/kumuosha-maiti-aliyekufa-na-janaba/