Swali: Kuna mtu anauliza kuhusu baba yake ambaye amekufa katika imani ya Suufiyyah inapokuja katika nyuradi, dhikiri na swalah zao. Hakuna yeyote aliyemnasihi baba yangu ya kwamba mfumo huu sio mfumo wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Je, nimuombee msamaha?

Jibu: Muombee du´aa na msamaha ikiwa haikufikia kiwango cha shirki, ana madhambi na maasi ambayo ni chini ya shirki. Ama ikiwa alikuwa anamshirikisha Allaah na anaomba wengine badala ya Allaah, usimuombee.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (50) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-6-10.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020