Swali: Je, ni kweli kwamba kumuomba dalili mwanachuoni kunazingatiwa ni kumfanyia utovu wa nidhamu?

Jibu: Hapana. Huku ndio kufunza vizuri.

  • Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 305
  • Imechapishwa: 04/07/2022