Kumuitikia mwenye kukimu swalah

Swali: Ni ipi hukumu ya kumuitikia mwenye kukimu?

Jibu: Ni kweli kwamba ipo Hadiyth ambayo ameipokea Abu Daawuud juu ya jambo hilo, lakini hata hivyo ni dhaifu na haijengewi hoja. Maoni yenye nguvu ni kwamba haitikiwi.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/201)
  • Imechapishwa: 10/05/2026