Kumuitikia muadhini wakati wa adhaana

Swali: Je, mtu ambaye ameanza kutawadha na akamsikia muadhini imesuniwa kwake kumuitikia muadhini au akate wudhuu´?

Jibu: Anaweza kumuitikia na akatawadha. Jambo ni lenye wasaa muda wa kuwa yuko nje ya choo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24501/هل-يشرع-ترديد-الاذان-اثناء-الوضوء
  • Imechapishwa: 18/10/2024