Swali: Je, inajuzu kumjibu muadhini wakati mtu anaposwali swalah ya sunnah?
Jibu: Hapana. Anayeswali, ni mamoja swalah ya faradhi au sunnah, asimjibu muadhini. Ni mwenye kushughulishwa na swalah. Atekeleze swalah ambayo yuko anaswali.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kumjibu muadhini wakati mtu anaposwali swalah ya sunnah?
Jibu: Hapana. Anayeswali, ni mamoja swalah ya faradhi au sunnah, asimjibu muadhini. Ni mwenye kushughulishwa na swalah. Atekeleze swalah ambayo yuko anaswali.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumuitikia-muadhini-ndani-ya-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket