Jini linataka kunitenganisha na mume wangu

Swali: Ni ipi nasaha yako kwa mwanamke alosibiwa na jini na linajaribu kumtenganisha baina yake yeye na mume wake?

Jibu: Ni juu yako kuwa na subira na kutarajia malipo kwa Allaah. Ajitibishe kwa Ruqyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020