Swali: Mtu akitaka kunikabidhi kitu cha haramu inafaa kwangu kukipokea au nikiharibu?

Jibu: Hapana. Mfundishe na umwambie kuwa haijuzu na kwamba analazimika kukiharibu. Usikipokee wewe. Mwambie kuwa haijuzu. Mkatalie kama kwa mfano anataka umuwekee pombe. Ni lazima kuiharibu pombe.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21999/هل-يجوز-لمن-اىتمن-على-محرم-ان-يتلفه
  • Imechapishwa: 15/10/2022