Swali: Ni ipi hukumu ya kuashiria kidole kwa mtoto siku ya Ijumaa wakati wa Khutbah kwa sababu anawashawishi wasikilizaji?
Jibu: Haijuzu wakati wa Khutbah akatikisika au akazungumza. Anachotakiwa ni kunyamaza wakati wa Khutbah. Anaweza kumnyamazisha mtoto kwa njia nyingine. Ama kutikisika, kumuashiria kidole au akazungumza haifai.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 11/04/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuashiria kidole kwa mtoto siku ya Ijumaa wakati wa Khutbah kwa sababu anawashawishi wasikilizaji?
Jibu: Haijuzu wakati wa Khutbah akatikisika au akazungumza. Anachotakiwa ni kunyamaza wakati wa Khutbah. Anaweza kumnyamazisha mtoto kwa njia nyingine. Ama kutikisika, kumuashiria kidole au akazungumza haifai.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
Imechapishwa: 11/04/2018
https://firqatunnajia.com/kumuashiria-mtoto-kidole-wakati-wa-khutbah-ya-ijumaa/