Swali: Kumtolea swadaqah maiti.

Jibu: Inamfaa maiti:

“Anapofariki mwanadamu basi matendo yake yote hukatika isipokuwa vitu vitatu; swadaqah yenye kuendelea, elimu ambayo watu wananufaika kwayo au mtoto mwema anayemuombea du´aa.”

Swali: Kutoa swaqadah kipindi cha uhai wake?

Jibu: Akitoa Waqf katika mambo ya kheri itamfaa au mtoto wake au watu wengine wakamtolea swadaqah itamfaa.

Swali: Baada ya kufa kwake?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22260/حكم-الصدقة-للميت-وانواعها
  • Imechapishwa: 20/01/2023