Kumtolea mtu swadaqah katika wakati uliokatazwa

Swali: Ni ipi hukumu mtu akiswali swalah ya sunnah pamoja na nduguye ambaye anaswali swalah ya faradhi katika wakati uliokatazwa kuswali ndani yake?

Jibu: Asiswali swalah ya sunnah. Ikiwa ni swalah ya faradhi atolewe swadaqah. Inafaa kufanya hivo. Asiswali swalah ya sunnah wakati wa makatazo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 16/12/2018