Mtu wa sampuli ya tatu – na huyu ndiye mbaya zaidi – ni yule asiyeswali. Huyu ameritadi na ni kafiri na tunamuomba Allaah atukinge. Mtu huyu ni wajibu kumhama. Asiitikiwe salamu. Asitolewe salamu. Asiitikiwe mwaliko wake. Mpaka pale atapojitambua nafsi yake na kutubu kwa Allaah na kurudi katika Uislamu. Hapo ndipo atanufaika kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/26)
  • Imechapishwa: 16/01/2023