Swali: Inajuzu kumpa mudiri wa shirika zawadi kwa ajili ya kutaka kumlingania na ili aweze kunyooka?
Jibu: Hapana. Haifai kumpa mudiri chochote. Kumlingania mtu hakukufungamana tu na kupeana zawadi. Unaweza ukamlingania pasina kumpa zawadi. Kwa kuwa kumpa zawadi ni rushwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Inajuzu kumpa mudiri wa shirika zawadi kwa ajili ya kutaka kumlingania na ili aweze kunyooka?
Jibu: Hapana. Haifai kumpa mudiri chochote. Kumlingania mtu hakukufungamana tu na kupeana zawadi. Unaweza ukamlingania pasina kumpa zawadi. Kwa kuwa kumpa zawadi ni rushwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumpa-zawadi-mudiri-wa-shirika-ni-rushwa/