Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa rafiki yangu kazini au yeye akanipa zawadi?
Jibu: Ikiwa hana idara, bali yeye ni mfanyakazi tu kama wengine, ni sawa kwa kuwa ndani yake hakuna makatazo yoyote. Rushwa ni kumpa kiongozi au yule msimamizi wa kazi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa rafiki yangu kazini au yeye akanipa zawadi?
Jibu: Ikiwa hana idara, bali yeye ni mfanyakazi tu kama wengine, ni sawa kwa kuwa ndani yake hakuna makatazo yoyote. Rushwa ni kumpa kiongozi au yule msimamizi wa kazi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumpa-zawadi-mfanyakazi-mwenzio/