Swali: Kuna mtu alichukua mali kutoka kwa mtu mwingine ili amhijie lakini akawa hakuhiji. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Arudishe pesa kwa mwenye nazo ili awakilishe mtu mwingine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-01-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 03/05/2015
Swali: Kuna mtu alichukua mali kutoka kwa mtu mwingine ili amhijie lakini akawa hakuhiji. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Arudishe pesa kwa mwenye nazo ili awakilishe mtu mwingine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo-01-08-1435-01.mp3
Imechapishwa: 03/05/2015
https://firqatunnajia.com/kumpa-mtu-pesa-akuhijie-kisha-asifanye-hivo/