Swali: Je, inajuzu kwangu kumwita mtoto wangu wa kiume Wadd?

Jibu: Hili ni sanamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fat_Majid_21_05_1434.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020