Swali: Kuna mtu Allaah Amemruzuku mtoto. Je, inajuzu kwake kumwita jina la “Taraf”?
Jibu: Taraf ni lenye kulaumika katika Qur-aan. Usimwite Taraf. Kwa kuwa Taraf ni lenye kusimangwa katika Qur-aan. Katika Sunnah au wajibu kabisa ni [mzazi] kulifanya zuri jina la mtoto wake. Amwite kwa jina zuri na asimwite kwa jina baya au linalochukiza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/1785
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Kuna mtu Allaah Amemruzuku mtoto. Je, inajuzu kwake kumwita jina la “Taraf”?
Jibu: Taraf ni lenye kulaumika katika Qur-aan. Usimwite Taraf. Kwa kuwa Taraf ni lenye kusimangwa katika Qur-aan. Katika Sunnah au wajibu kabisa ni [mzazi] kulifanya zuri jina la mtoto wake. Amwite kwa jina zuri na asimwite kwa jina baya au linalochukiza.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/1785
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/kumpa-mtoto-jina-la-taraf/