Swali: Je, inafaa kwa mume kuchukua vile alivyompa mkewe atapomwacha baada ya kumjamii?
Jibu: Hapana, haijuzu. Alivyompa kisha anavimiliki yeye. Akimpa kitu na akakipokea basi anakimiliki. Hivyo haitojuzu kukichukua.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 20/07/2024
Swali: Je, inafaa kwa mume kuchukua vile alivyompa mkewe atapomwacha baada ya kumjamii?
Jibu: Hapana, haijuzu. Alivyompa kisha anavimiliki yeye. Akimpa kitu na akakipokea basi anakimiliki. Hivyo haitojuzu kukichukua.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 20/07/2024
https://firqatunnajia.com/kumnyanganya-mke-ulivyompa-baada-ya-kumtaliki/